Daborent ni BURE kuanza kutumia

Utakacholipia ni DaboSMS ambazo ni SMS zinazokukumbusha mikataba ya wapangaji inayokaribia kuisha, pia hizo SMS zitakumbusha wapangaji kufanya malipo kabla ya mkataba kuisha. DaboSMS zitatumwa wiki moja na siku moja kabla ya siku ya mkataba kuisha

DaboSMS
Bei yake (Tshs)

Social media

Daborent App

Sisi kama Daborent tumedhamiria kuwasaidia Wenye nyumba kusimamia biashara yao kwa ufanisi na urahisi