Tumia smartphone kurekodi taarifa za wapangaji BURE
Kumbushwa kwa SMS mikataba inayokaribia kuisha
Lipia SMS kadri unavyotumia kuanzia Tshs 200
Unaweza kutumia Daborent app ukiwa na idadi yoyote ya wapangaji
Kutumia Daborent app kujaza taarifa za makazi na malipo ya wapangaji ni BURE, utakacholipia ni kununua DaboSMS
DaboSMS ni SMS unazotumiwa automatically ili kukukumbusha malipo ya mpangaji yanayokaribia kabla mkataba wake haujaisha
Nunua DaboSMS kupiia lipa namba ya Vodacom 234839 ambapo DaboSMS moja ni Tshs 200 na unaweza kunua DaboSMS za idadi yoyote kulingana na bajeti yako
Kama unatumia Chrome bonyeza button ya kulia juu inayoonekana kama , kisha kwenye hiyo menu bonyeza sehemu imeandikwa ‘Add to Home Screen,’ baada ya hapo bonyeza Install kisha itaanza kudownload na utaitumia kama app nyingine
Kwa sasa unaweza kutumia Daborent kama app ya kwenye simu, hauwezi kutumia kwenye computer
© 2024 Daborent
All Rights reserved